Ni nini sababu ya wewe kununua simu mpya?

Mie nilitendwa na tecno nikahamia samsung
 
Me nilitoka huawei nikahamia xiaomi
 
Me yangu ilokua tab niliinunua kwa ham nilikua nataman tu kutumia tablet kizaazaa nikiwa mbele za watu kuipokea watu wananiangalia naona had aibu na vile nibebe handbag hata kwa safar zisizohitaj nibebe nikaona mzigo huu
Jipepelee Dsm joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…