Ni nini siri nzito iliyopo kweye bara la Antarctica

Ni nini siri nzito iliyopo kweye bara la Antarctica

dosho12

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
596
Reaction score
1,475
Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli hii eneo lina barafu na hao viumbe tu na hakuna kitu kingine kilichojificha, viasharia vinaanza kujitokeza na kuonyesha huenda kukawa na vitu zaidi ya walivyozoea kutuambia

Kutokana na notebook iliyopatika kutoka Adimiral Richard E. Byrd inasema Byrd alienda kwenye eneo hilo na akakutana na sehemu kama shimo kubwa la kutosha kupita ndogo ndogo aliendahumu na kukuta kuna sehemu ndani ya barafu na kuna mimea ya kijani iliyo stawi vizuri na alisema aliona milima ya makaa ya mawe Pia kipidi cha kuanza kwa vita ya pili ya dunia jeshi la Nazi la Adolf Hitler liiienda kuweka kambi yake huku ila cha kujiuliza kwa nini waweke kambi maeneo hayo hatarishi kwenye baridi kali huenda kuna kitu waliona ambacho kingewasaidia kwenye jeshi lao, inasemekana kuna madini ya uranium ambayo inatumika kwenye kutengeneza silaha za nuclear na kuna madini ya plutonium ndio maana ujerumani walienda huko na serikali ya marekani pia walienda huko baada ya kuanguka kwa ujerumani wakiwa na mission yao waliyoita project paperclip ambapo waliwachukua wanasayansi wote wa kijerumani walikuwa na elimu kuhusu eneo hilo na kuweka kwenye sehemu ya nishati CIA na wengine walipelekwa NASA

Ukiangalia kwenye Google earth sasa hivi utaona kuna kambi za uchunguzi kutoka mataifa makubwa huko Antarctica. Na sasa iananza kujulikana kuwa Antarctica haikuwa eneo la barafu kwa miaka million 12 iliyopita kama wana sayansi wanavyotaka kutuaminisha sababu kwenye ramani ya perris inaonyesha Antarctica ikiwa bila barafu na ramani hiyo siyo ya muda mrefu sana. Pia imegundulika kuna ma pyramid makubwa zaidi hata ya yale yaliopo misri kwenye eneo hilo

The Antarctica treaty, kama ushawahi kusikia huu ni mkataba wa makubaliano kwamba eneo hilo halimilikiwi na taifa lolote hivyo walikubaliana kuruhusu ku share kwa uchunguzi salama utaofanyika huko hakuna vita . mktaba ulisainiwa na mataifa 12 ambayo ni 1.Marekani 2.urusi 3.China 4. Argentina 5. Afrika kusini 6.Australia 7. Ubelgiji 8.Chile 9. Ufaransa 10,Japani 11.Newzeland 12. Norway. Mtu akitaka kutalii au lazima awe na kibali Kuna uwazi mmoja mkubwa wa mita kama 30 na pembezoni wamejenga kituoi cha uchunguzi unaweza ukaangalia hata kwenye google earth swali nai kwa wajenge kituo karibu na shimo hilo kuna nini

Pia kuna maziwa ya maji yaliypo kilomita 3 chini ya barufu ziwa vostock lilogunduliwa miaka ya 1990s ndio ziwa kubwa kwa sasa lenye ukubwa wa kilomita 2.5 na nyuzi joto (-3 degrees ). kuna maeneo mengine hupaswi kwenda kwa watalii hata kama umepata kibali ila hizo sehemu hupaswi kwenda haijulikana kuna nini na kwa nini hairuhisi ni Blindspot ni kama vile Area 51 ya Antarctica kuna watu inasemekana wanajaribu kwenda sehemu hizo kwa kificho na cha kushangaza watu hao hawarudi na hawasikiki tena wao wanachosema ni kuwa eneo hili limefungwa hili kutunza maeneo na viumbe waliopo eneo hilo

Kwa wanaonda kutalii ila mbali zaidi kwenye sehemu ya hali ya hewa hatarishi wanasema kuwa kuna wakati huwa wanahisi kama kuna mtu mwingine ambaye haonekani akiwa wafata nyuma na wengine husemi hupata hallucination wakiwa maeneo hayo, pia inasemekana kuna sehemu moja kuna barafu zinazotoa sauti ambayo kwa masikio huwezi sikia ila kuna vifaa ukitumia inasikia sauti hizo kutoka kwenye barafu na zinabadilika kutokana na majira ya mwaka

Ni mengi mno yasiojulikana kutoka kwenye eneo hilo na ambayo wana sayansi wanatuficha ni nini hasa wnachochunguza na walichipata mpaka sasa hivi je huenda kuna mabaki ya jamii zilizo pita na kama hivyo kwa nini watufiche
 
Mbona hujaongelea issue ya uwepo wa UFO na aliens maeneo hayo ?
Nimeona kuna wengine huenda hawa amini mambo ya aliens ila inasemekana pia huwenda wakawepo huko wamekaa na wanatoka na kurudi wanavyotaka
 
Back
Top Bottom