Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaposikia sauti ya ndege angani na kuthibitisha kuwa ndege ile inapita.Tazama- kuangalia kitu Kwa umakini(chunguza) zaidi Ili kupata taarifa za ziada. Mfano mgonjwa, bidhaa unayotaka kununua sokoni,
Ona- kuangalia Kwa kutozingatia zaidi na bila umakini wowote. Mfano watu na vitu vyoote vilivyo mbele ya macho Yako.
Angalia - kutazama Kwa vipindi, Kuna wakati utatilia umakini na wakati mwingine unapuuza. Mgmfano mpira wa miguu, sinema, movie n.k
Kwakua ipo mbali utakua unaonaNinaposikia sauti ya ndege angani na kuthibitisha kuwa ndege ile inapita.
Je, japo nakuwa natazama, naona au naamgalia ndege?