Billions dealer
Member
- Apr 9, 2020
- 21
- 22
Asante sana kwa ufafanuzi mkuuVisa ni kibali kinachotolewa Na nchi husika ili uweze kuishi ktk nchi hiyo Kwa shughuli/jambo Fulani.
Mfano kuna visa ya Biashara & Utalii.
Passport
Ni hati/Nyaraka inayomilikiwa Na nchi husika,ambayo inamuwezesha muhusika kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Kumbe sasa naanza kukuelewa Mkoloni Mjermanai alipata wapi visa ya kuja kutawala Tanganyika? ! tuanzie hapo kwanza!Kwa kuongezea sababu wengine wameshajibu tayari, passport ni haki yako ya msingi kuwa nayo kama mzawa wa nchi husika lakini visa ambayo ni kibali cha kwenda nchi fulani either kibiashara/masomo/ugonjwa/michezo na mengineyo mengi ni uamuzi wa nchi husika unayotaka kwenda waamuue kukupa ama kutokupa na ikiwa hawaakupa vile vile wanatoa sababu gani au zipi zimefanya usipewe visa ya nchi yao uliyokua unakusudia kwenda.
Tanganyika hata haikuwepo kulikuwa na machief,akina mangungo ndo walimpaKumbe sasa naanza kukuelewa Mkoloni Mjermanai alipata wapi visa ya kuja kutawala Tanganyika? ! tuanzie hapo kwanza!
Nyie ndo mnaofanya jf inaonekana ya hovyo siku hiziKuna mtu ananiambia hapa kuwa:
Visa ni yai bovu.
Passport ni picha ndogo ya kichwa.
Kwa lugha rahisi ya kimtaa!
Huyu Mangungo wa msovero? wa juzi juzi ilikuwa kwao siyo kwa tanganyika! na tanganyika ilikuwepo sababu wavuvi walikuwa wakiweka matanga kwenye nyika. ndiyo ikawa Piga Matanga kulee nyikani hence wachora ramani walipo uliza how do you call this place? wazaramo wakajibu kule ni kutia Matanga nyikani hence the word Tanganyika!Tanganyika hata haikuwepo kulikuwa na machief,akina mangungo ndo walimpa
Wajinga wengi siku hiziNyie ndo mnaofanya jf inaonekana ya hovyo siku hizi
Wajerumani ndo walikuja kuanzisha kitu kinaitwa Tanganyika na serikali. Hapo awali hakukuwa na nchi.Huyu Mangungo wa msovero? wa juzi juzi ilikuwa kwao siyo kwa tanganyika! na tanganyika ilikuwepo sababu wavuvi walikuwa wakiweka matanga kwenye nyika. ndiyo ikawa Piga Matanga kulee nyikani hence wachora ramani walipo uliza how do you call this place? wazaramo wakajibu kule ni kutia Matanga nyikani hence the word Tanganyika!
Astaghafiluuu! Babu zetu hao walitawala nini mawee! Mkwawa, Milambo, Mkama marumbo, isike weee temea mate chini! somo la Hx ulikimbia wewe!Wajerumani ndo walikuja kuanzisha kitu kinaitwa Tanganyika na serikali. Hapo awali hakukuwa na nchi.
Kumbe sasa naanza kukuelewa Mkoloni Mjermanai alipata wapi visa ya kuja kutawala Tanganyika? ! tuanzie hapo kwanza!
Passport ni kibali cha kutoka nchini kwako,Visa ni kibali kinachotolewa Na nchi husika ili uweze kuishi ktk nchi hiyo Kwa shughuli/jambo Fulani.
Mfano kuna visa ya Biashara & Utalii.
Passport
Ni hati/Nyaraka inayomilikiwa Na nchi husika,ambayo inamuwezesha muhusika kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Passport na passport size ni vitu viwili tofautiKuna mtu ananiambia hapa kuwa:
Visa ni yai bovu.
Passport ni picha ndogo ya kichwa.
Kwa lugha rahisi ya kimtaa!
Asante nimejifunza kituKwa kuongezea sababu wengine wameshajibu tayari, passport ni haki yako ya msingi kuwa nayo kama mzawa wa nchi husika lakini visa ambayo ni kibali cha kwenda nchi fulani either kibiashara/masomo/ugonjwa/michezo na mengineyo mengi ni uamuzi wa nchi husika unayotaka kwenda waamuue kukupa ama kutokupa na ikiwa hawaakupa vile vile wanatoa sababu gani au zipi zimefanya usipewe visa ya nchi yao uliyokua unakusudia kwenda.