mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Big noooooooo! Ulilishwa matango pori hayoo! mpaka umevembewa, na bado umevembewa!... ndo tatizo ya shule za kata!! Sisi tulikuwa wajanja tangia Misri ya kale ni mali yetu ile! tunaitaka irudi,
Na hapo MIsri siyo mbali na Shinyanga yaani unatirirIka na mto Nile tuu mpaka victoria ! unajaa Maganzo! asa iweje wao watufundishe matumizi ya haya makitu wakati ni yetu? na Pharaos wa misri walikuwa wanazitumia Miaka dahari?
Hapo bado sijasema Middle east!
Ushashiba ugali wa shemeji yako sioNi nini tofauti Kati ya VISA na PASSPORT?
Je, mtu mmoja anaweza kumiliki passport zaidi ya moja?
Je, mtu mmoja anaweza kumiliki Visa zaidi ya moja?
Je, inawezekana mtu mmoja akamiliki passport na visa?
Asante sana mkuuUtaomba passport nyingine ndugu
Na je hicho kiwango cha fedha kinapaswa kuwa kwenye account? Au uwe nacho cash?Mhhhh....
Hapo kweli mtihani.
Yule jamaa yangu alikuwa nayo cash sasa sijui ilikuwajeNa je hicho kiwango cha fedha kinapaswa kuwa kwenye account? Au uwe nacho cash?
mwambie aache mzaha jamaa kauliza swali la mantiki hatuko vijiwe vya kahawa hapaKuna mtu ananiambia hapa kuwa:
Visa ni yai bovu.
Passport ni picha ndogo ya kichwa.
Kwa lugha rahisi ya kimtaa!
Kwa kuongezea, passport inatolewa na nchi yako, visa inatolewa na nchi unayotaka kwenda.
Kwa mfano wewe ni mtanzania, basi unapaswa kuwa na passport ya tanzania.
Kama unataka kwenda Marekani, basi wakati unafuatilia utaratibu pale ubalozi wa US, wataibandika visa ya Marekani kwenye passport yako.
(Baadhi ya nchi wanagonga muhuri tu na kujaza idadi ya siku utakazo kaa kwenye passport yako)
Kwahiyo passport ni utambulisho wako kama mtanzania huko ugenini, wakati visa ni kibali cha wewe kuingia na kufanya shughuli iliyokupeleka huko ugenini.
NB. Passport inakua na kurasa nyinginyingi, hivyo kila anaposafiri viza huwekwa kwenye ukurasa tofauti, hadi pale passport yako itakapo jaa.