Ni nini tofauti ya maneno haya

Ni nini tofauti ya maneno haya

Uarabuni na ughaibuni

1. Neno Ughaibuni, linatokana na neno la Kiarabu (al-)Ghaib (غيب): Likimaanisha visivyo onekana au visivyo julikani/vilivyo vichikana

Mfano, mtu anataka kuelezea umbo la Mwenyezi Mungu au kuelezea jambo ambalo lipo nje ya uwezo wake kisha akaelezea kimakosa, anaambiwa kuwa hiyo kwake ni ilmu Ghaib, yaani elimu iliyofichikana kwake/kutoijua kwa hiyo kwake inakuwa ni ghaib.

Waswahili wanalitumia ili neno kuelezea nchi za mbali zisizojulikana (Kwa wakati huo wa zamani)... Amekwenda Ughaibuni... Abroad.

2. Uarabuni ni nchi za Kiarabu
 
Jibu murua X-Paster

Siku hizi mara nyingi watu wanatumia "nchi za nje" au "nje ya nchi" badala ya ughaibuni kwa vile huko aliko kunajuulikana wapi
 
Back
Top Bottom