Ni nini tofauti ya speed katika vyombo vya moto

Kilo moja ya pamba na kilo moja ya mawe ipi nzito?
Ni bora ungekaa kimya tu kuliko kuja kuotuonyesha namna ambavyo uwezo wako wa akili umefikia kama unajua kwanini umeshindwa kujibu hivyo hivyo mbona Kodofan amechambua vizuri sana na ameeleweka acha kujifanya mjuaji kwenye mada za watu wakati hakuna unachokijua
 
Haya maswali ndo kama yale ya eti gunia moja la kilo 100 ya mahindi lina uzito sawa na gunia moja la kilo 100 za pamba?....hata mtoto wangu wa miaka minne analo jibu sahihi.
Wewe kweli sambusa unafaa kuliwa
 
Asante sana kaka nimekuelewa vizuri sana nadhani hata kuna watu waliokuwa wanakejeri humu na wao wamefahamu ubarikiwe
 
Wewe sio dereva, itanichukua muda kuamini kuwa wewe ni dereva mzuri! Naamini dereva mzuri hawezi kuwa mwepesi kiasi chako!
 
Totally wrong!
 

Heshima kwako mkuu
 
Hata ndege ya fast jet ikiwa kwenye speed 100 km/h (mfano), na gari baiskeli ikiwa kwenye speed 100 km/h na wote waka maintain hivyo basi wataenda sambamba!
 
Mwepesi kufeli! Hivi unadhani kwanini speed signs za barabarani zimekuwa aina moja kwa vyombo vyote!?

Speed 100 kwenye dashboard ni lazima iwe sawa na mwendo kasi wa barabarani, bila kujali ni chombo gani!
Mmmmh umejitahidi nilijua ulivyokuwa unaniambia mie sio dereva wewe itakuwa nauelewa mkubwa lakini naona unachokisema hata mie nakijua soma comment ya Kodofan nafikiri na wewe utaweza kunifunza zaidi
 
Mmmmh umejitahidi nilijua ulivyokuwa unaniambia mie sio dereva wewe itakuwa nauelewa mkubwa lakini naona unachokisema hata mie nakijua soma comment ya Kodofan nafikiri na wewe utaweza kunifunza zaidi
Kodofan ameeleza vizuri lakini hajaelewa swali lako (uzi wako), wewe umeuliza iwapo vyombo viwili tofauti vita maintain speed 100 je vitakuwa sambamba? Jibu langu ni ndio! Bila kujali nguvu na aina ya chombo, provided vime maintain speed moja kwenye dashboard, basi vitakuwa sambamba! mshana jr Isanga family
 
Basi wewe ndio haujaelewa swali langu vizuri nilianza kweli kuuliza hivyo niaelezea japo na mie naelewa kama hivyo ila kilichokuwa kinanichanganya ni kuhusu v8 ya petrol yenye speed 180 na v8 ya diesel yenye speed 220/kushindwa kuipita ya petrol japo yenyewe odo inasoma 220 soma vizuri swali utaelewa na ndio maana Kodofan amelielezea kwa kirefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…