shiite
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 314
- 299
wazima humu ndgu? kama title inavyojieleza, mgonjwa wangu kaambiwa ana kivuli upande mmoja wa moyo ambapo doctor anadai ugonjwa huo ni TB ya moyo. kuna zahanati moja hv jina naihifadhi ambayo ni binafsi, ndiyo hayo ameambiwa. Najua humu kuna wataalamu, naomba kujuzwa zaidi juu ya huu ugonjwa, kwa kuwa sijapata fursa ya kumuuliza daktari zaidi. Ni vema ningejua kama kuna huu ugonjwa, dalili zake, na tiba. Shukrani