Ni nini ugonjwa wa TB ya Moyo?

shiite

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
314
Reaction score
299
wazima humu ndgu? kama title inavyojieleza, mgonjwa wangu kaambiwa ana kivuli upande mmoja wa moyo ambapo doctor anadai ugonjwa huo ni TB ya moyo. kuna zahanati moja hv jina naihifadhi ambayo ni binafsi, ndiyo hayo ameambiwa. Najua humu kuna wataalamu, naomba kujuzwa zaidi juu ya huu ugonjwa, kwa kuwa sijapata fursa ya kumuuliza daktari zaidi. Ni vema ningejua kama kuna huu ugonjwa, dalili zake, na tiba. Shukrani
 
Ok kwanza kabisa ujue hakuna TB ya moyo.TB ni ugonjwa unao shambulia zaidi mapafu(pulmonary TB) na huwapata watu wenye HIV/AID, ila kuna TB ambazo hushambulia nje ya mapafu (extrapulmonary TB) Kama kwenye mitoki(lympnodes) japokuwa ni rare sana kutokea.Tukirudi kwenye maelezo yko huwenda mgonjwa wko akawa na TB ya pleural sac ((hiki ni kifuko ambazo hutenga kati ya kuta za mbavu na mapafu ))kikijaa maji huufunika moyo nadhani ndo maana daktari akakwambia kuwa mgonjwa wko ana TB ya moyo.
 
shukrani kaka...nimeanza kupata picha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…