Ni Nini Wanaume Wanataka Toka Kwa Wanawake?

Simply superb! I really dig this breakdown...Well done Superman!
 
Si mimi ninayesema. Ni Scientific Research. Wanaume ni Cheaters zaidi kuliko Wanawake.

Kwahiyo Mkuu, Kutokana na hii argument yako hapa naomba kuunganisha na ile argument yako ya kule kwamba HAKUNA LOVE BILA TRUST therefore kutoka kwenye evidence zako na research yako CONCLUSION ni kwamba HAKUNA LOVE... au kama sivyo you must believe one and not the other sababu ni impossible kuamini vyote.

To put it Simply Evidence zako zinakufunga mwenyewe...
 
Hizi zote ni "nadharia" tu na zinakubalika, lakini unapokuja wakati wa vitendo, wakati wa ukweli, binadamu (mwanamume/Mwanamke), anahitaji mapenzi kuridhika; na husahau nadharia zote kwa sababu "uzuri uko katika macho ya mtazamaji".

Kwa maumbile yake, neno mapenzi lina tafsiri nyingi kutegemea na mtu. Mke/mume anaweza kuwa mbaya (wa sura na tabia, laghai, macho ya nje nk), lakini anayependa akawa haoni yote hayo; na hata marafiki/wanafamilia wakimwambia, yeye haoni wala hasikii, kinyume chake anaweza kutafsiri kuwa ni choyo tu. Kwa sababu ya kupenda, wanaweza kujua watu wote anayofanya mwanandoa/ mwanauhusiano, lakini mhusika mkuu akawa wa mwisho kujua.

Ni watu wachache sana ambao huamka mapema wanapogundua kuwa lile walilokuwa wanalitarajia katika mahusiano halipatikani, na sio kwa sababu halipo bali huwa hawakuridhika.

Kwa ufupi na kwa maoni yangu binafsi, mwanamume/mwanamke anahitaji kuridhika na hali aliyonayo. Akiridhika, uhusiano utadumu, asiporidhika kazi kwisha.
 

Kiongozi VoR;

Wajibu wangu ninaopendelea katika JF ni kuchokoza maada na kukusanya facts na "Sababu Za Kiiteligensia" ili kuchochea kufikiri na michango itolewe.

Binafsi arguments nilizozitoa zinamebase kwenye Internet Research from reputable researchers; experience yetu ya maisha ya ndugu, jamaa na marafiki tunaowafahamu na kwa hapa JF ukiangalia thread hii ndo utagundua kuwa si mchezo: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/102386-wanaume-nisaidieni.html.

Bado ninaamini kuna exceptional cases ambazo hazifit katika research hizi.

Lakini Mkuu, tutafungu thread inayoelezea mapenzi ni nini hasa. Na Trust ni nini hasa ili tuwe na uhakika zaidi. Ila si vema haya masuala kuyaangalia kinadharia bali kivitendo.

Binadamu tuna mapungufu mengi na utashi tofauti, we are never perfect na ndo maana kuna dhambi. Malaika Mkuu anaitwa LUCIFER enzi hizo akiwa mbinguni mahali ambapo ni patakatifu sana na bila dhambi, akiwa karibu sana na Mungu na akiwa ni Kiongozi wa Malaika wote na privilages nyingi sana mbinguni, bado katika hali ile alitenda dhambi kutoka within himself: Wivu; Kiburi, majivuno nk na hatimaye akaanguka.

Ni nini wanadamu katika dunia hii yenye dhambi? Kama si Neema ya Mungu ni nani angesimama?

Facts are facts and sometimes are hard to swallow.

Much Respect VoR!
 

Mama Mia nakubaliana na wewe . . .

Only kwamba sababu zilizotolewa hapo nyingi si za kinadharia, they are hard facts.

Respect.
 

Ndani ya nyumba hakuna kupangiana zamu Chapa Nalo Jr, unamsaidia tu mkeo kwa upendo, siyo sababu wewe ndo baba basi hata siku moja humsaidii mkeo kutandika kitanda au kufua!!!!!!!!!!!!!!!! ni mapenzi tuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ndani ya nyumba hakuna kupangiana zamu Chapa Nalo Jr, unamsaidia tu mkeo kwa upendo, siyo sababu wewe ndo baba basi hata siku moja humsaidii mkeo kutandika kitanda au kufua!!!!!!!!!!!!!!!! ni mapenzi tuuuuuuuuuuuuuuu

FP . . . LOL

Na wale ambao hata kitanda hawatandiki achilia kufua badala yake anafanga House Helper, hawa nao imekaaje? Utafiti unaonyesha wako wengi sana.
 

Mkuu hilo si kweli, mapenzi yahivyo huvunjika mapema.
 

Haya bwana.
 
Kiongozi VoR;

Facts are facts and sometimes are hard to swallow.

Much Respect VoR!
Kweli Mkuu Facts are Facts na kwenye hii Topic hapa ni vigumu to go against it lakini nilikuwa ninakukumbusha kule kwenye TRUST and LOVE I very much doubt kama you can have enough facts...

Na point kwenye hii post niliyoichomoa ni kwamba men are cheaters, lakini mimi ninakwenda another level ninakwambia kwamba watu wote wana tamaa, lakini if you think about the concequences we have the power ya kujizuia. Human beings are weak thats the bottom line, the trick is to know your weakness na kuifanyia kazi ili isikutoe kwenye line...
Respect.
 
10. wanaume wanahitaji Appreciation and praise wanapofanya mazuri kwa wenzi wao au katika shughuri na mambo yeyote.
 
FP . . . LOL

Na wale ambao hata kitanda hawatandiki achilia kufua badala yake anafanga House Helper, hawa nao imekaaje? Utafiti unaonyesha wako wengi sana.

Unasema hao tu?? kuna wengine hata wakienda kunya hawamwagii maji au kuflush kama maji yanatoka na kutupa maboxer yao yafuliwe lol?? halafu kama huyu nae bado anakucheat bado uchukulie ni kawaida. unafikiri huyo dem nae ungekuwa unamfanyia unayofanya home angekuwa anakupokea kila siku kwa mikono miwili? lloooo machupi mazitoooo mtu anataka umfulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…