Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
Katika mahusiano ya Mwanamke na Mwanaume ili yawe ya mafanikio makubwa ni nini hasa kinampasa Mwanaume afahamu na afanye?
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake wanaangalia na kama hivyo vitakosekana basi mambo huenda yasiwe mazuri katika uhusiano wenu.
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake wanaangalia na kama hivyo vitakosekana basi mambo huenda yasiwe mazuri katika uhusiano wenu.
- Mwanamke anataka awe APPRECIATED: Najua wengi watashangaa kwa nini siyo LOVE kwanza. Ukweli ni kuwa Wanaume wengi wanaweza kumwambia mwanamke I LOVE YOU lakini hawam-APPRECIATE. Kuwa appreciated ni sehemu muhimu sana ya mahusiano ambayo mwanamke anahitaji.
- Mwanamke anahitaji "DEEP EMOTIONAL BOND WITH A MAN". Wanawake wanataka spouse wao waelewe feelings zao na wawe concerned nazo. Na pia wanapenda kujua Spouse wao wanaf hisia zipi na wanapenda kushare hizo feelings na emotions.
- Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atafeel kuwa yuko "FEMININE and SEXY". Anataka kuwa na uhakika kuwa yeye ni mwanamke bora aliyekuvutia kuliko wengine na kwa nini. So u must make it clear to her very regular. Vinginevyo anakuwa na wasiwasi. So usisangae unaulizwa mara kwa mara "hivi kwa nini unanipenda" they want an assurance.
- Mwanamke anataka mwanaume ambaye ni ROMANTIC. Romance ni ubunifu wa kimapenzi. Hili halielezeki, ni namna ya kuwa katika MAPENZI na FURAHA katika mahusiano. Wanawake wanataka wafanyiwe mambo mengi madogo madogo ambayo yataendelea kuwahakikishia kuwa kweli wanapendwa na wanafurahiwa.
- Wanawake wanataka Mwanaume ambaye yuko CONFIDENT au anayejiamini.
- Wanawake Wanapenda kuwa na uhakika kuwa wenzi wao ni WAAMINIFU.
- Mwanamke anataka Mwanaume mwenye MIPANGO inayoeleweka katika maisha na awe AMBITIOUS. Mwanaume ambaye ni MBUNIFU.
- Mwanamke anataka mwanaume Mkarimu na Mtoaji na si mkono wa birika. LOL.
- Mwanamke anataka Mwanaume ambaye hatakuwa Mwenzi wake tub ali pia RAFIKI yake.
- Mwanamke anapenda Kupendwa hata kama amekuboa. Anataka wakati wote atosheke Mentally; Emotionally and spiritually.
- Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atampatia SECURITY na PROTECTION. That he will be there when she needs him no matter what.