cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
JAMANI NJAA HAINA ADABU NA HAICHAGUI MTU.
Bibi akiwa amefungasha mzigo wa Bangi, mwenyewe alikuwa amejiandaa tayari kwenda kafanya biashara lakini bahati haikuwa yake wajanja wamemnasa.
Polisi wakimpekuwa bibi mwenye umri wa miaka 94 alikamatwa maeneo ya Nogales Arizona akiwa na bonge la mzigo wa bangi....Swali ni je kweli huyu bibi hiyo biashara ilikuwa ni ya kwake ?au wajanja walimtumilizia wakiamini bibi kama huyo hawezi kushukiwa kama anaweza fanya biashara kama hiyo? Mie naona she is toooooo old for that,....na kama ilikuwa ni biashara yake then the World is coming to an end.
NB:kama ilishapostiwa kabla mnisamehe bure.
mkuu ni kweli kabisa hujakosea.si bora huyo anahustle kuliko viongozi wetu wezi na wanyontaji...ni mjasiliamali huyo by the way...
Majasho mengine yana VIKWAPA HAYALIKIKila mtu atakula kwa jasho lake......
Does it fit the definition of WORK...??Old womens at work.
habari ndo hiyo.kazi ni kazi.kwani bibi ndo hali?does it fit the definition of work...??
Cheusimangala mi hio avatar yako bana daaaaa................
Nyani haoni...................... tehe..........tehe......... maana liko nyumakijana acha kumtekenya chui mapajani........!!!!ohoo shauri yako.......!!!!!!changia mada bwana ma-off topic mengine sio mwake kabisa!!!
Does it fit the definition of WORK...??
............... contradiction ....................jibu ni yes kama hii ndio shughuli ilimwezesha kuishi miaka yote hiyo 94. ila anafanya kazi haramu
Bi mkubwa naye anataka kutoka ki'life.
Du!
hivi bibi umri huo atafungwa au?
kijana acha kumtekenya chui mapajani........!!!!ohoo shauri yako.......!!!!!!changia mada bwana ma-off topic mengine sio mwake kabisa!!!