Ni zaidi ya mazingaumbe. Wajinga ndio waliwaoHivi ile ni uongo?
Mvinyo mwekundu ni RED WINE ina kitu kinachoitwa revestarol ambacho ni antioxidant inayoongeza high lipoprotein density(HDL)/good cholesterol inayotukinga na matatizo ya moyo!na inasemekana inapunguza pia Low lipoprotein density(LDL)/bad cholesterol ambayo inaweza kusababisha blood clotting in artries and plaque!
kuna kakitabu kana cover ishu zote za pombe. kama upo dar niikuunganishe na mtu akuuzie.mimi49 naomba kujua mvinyo mwekundu ni km upi? Na kama ntakunywa kwa wiki ntapata faida gani?
kama upo dar nikuunganishe na mtu akuuzie kitabu kinachohusu pombe.Ikiwa mlengwa ni mnywaji wa vinywaji vikali, km konyagi,na bia ni ipi njia ya kuondoa sumu mwilini itokanayo na vinywaji hivyo km mlengwa ameacha matumizi ya vinywaji hivyo kabisa?
Ni zaidi ya mazingaumbe. Wajinga ndio waliwao
Ingekuwa tiba ni rahisi hivyo basi hizo compyuta zingekuwa zimejaa MUHIMBILI, K.C.M.C, BUGANDOhiv hata zile kompyuta wanazodai kupima magonjwa zinaukweli wowote?maana huwa najiuliza sana kama nikweli kwanin serikali isiziweke ktk hospitali zetu?na kama uongo kwnn waenderee kuachiwa kupotosha watu?