Habari zenu watanzania wenzangu. Swali langu nilikuwa nataka kuuliza kwamba nimeachiwa kampuni na wazazi wangu ila kutokana na kwenye bank hakuna fedha za kutosha kuimarisha kampuni isimame kama zamani. nilikuwa nahitaji kujua jinsi gani ya kukopa hela bank kwa kutumia jina la kampuni? Tafadhali naomba mnijibu