Ni njia zipi nitumie za kupata mkopo kwa kutumia kampuni yako binafsi?

yomboz

New Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu watanzania wenzangu. Swali langu nilikuwa nataka kuuliza kwamba nimeachiwa kampuni na wazazi wangu ila kutokana na kwenye bank hakuna fedha za kutosha kuimarisha kampuni isimame kama zamani. nilikuwa nahitaji kujua jinsi gani ya kukopa hela bank kwa kutumia jina la kampuni? Tafadhali naomba mnijibu
 
Mungu ameibariki tanzania kwamba karibia kila sehem kuan Branches za Bank.

Tuache ivuvu na kuogopa majengo ya Bank,nenda kwa Branch Manager yoyote atakusaida

Humu ni ngum kupata maelezo maana kila kampuni ina namna yake ya kupewa mkopo.Sasa kuuliza General namna hii ni ngum sana kupata maelezo sahihi na pia Bank zionatofautiana conditions na Terms kwa ujumle.
Ila kama yako inaenda kwa hasara hapo kazi unayo.

Anagalizo:-
Fuata njia halali za kuomba mkopo usije ukawauwa wazazi wako kwa pressha,maana nahisi kitu hapo
 
1.kampuni yako inafanya kazi au ndio unataka kuifufua?
2.kampuni yako ikifanya kazi baada ya malipo ya wafanyakazi na makato ya tra yapo mapato ya ziada yanayopatikana?
3.kampuni yako ina asset zinazotambulika na haziamishiki?
4.kampuni yako inataka kufufua mtaji au inataka kuendeleza mtaji uliopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…