Ni nyakati za kuomba

Ni nyakati za kuomba

Be calm

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
3,766
Reaction score
8,959
Waliotangulia si wadhambi kutuzidi siye no, ni foleni tu inazidi kusogea. Zamu ya nani kati yangu mi na wewe hatujui?

Kumbuka ukishazikwa na mambo yako yote hayana thamani tena mbele ya walimwengu waliohai, jina lako lapoteza Nuru duniani.

Dunia ijapotikiswa ni nyakati za kuomba.Ee Mola tujaalie kukumbuka na tujaalie mwisho mwema.🙏
 
Kuomba akuna nyakati mkuu ni Kila saa ni Kila wakati maana akuna ajuaye siku Wala saa ya ku exist
 
Back
Top Bottom