...ni oga wa maisha

PSYCHOLOGY

Senior Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
177
Reaction score
14
habari wana JF!
Nmekua naona wanaume /wanawake wanaotaka kuwa kitu kimoja(kuoana) kuna kamsemo ''ndio chaguo langu'' kumbe mtu anaangalia vigezo vya maslahi.
Hili lipo zaidi kwa akina dada wanaomaliza 1st degree zao au amepata kazi yake hataki kuishi na mwenzie ...hivi ni ajili hiyo ya kuogopa ugumu huu wa maisha?
Nawakilisha.
 

dzain umekataliwa kuish na mtu?
maslahi kaka
 
dzain umekataliwa kuish na mtu?maslahi kaka
Sio mimi Rose!Mimi ninavyo vishawishi lazima watanasa wenyewe bila kuitwa!Hayo nimeyaona kwa macho yangu pia nasoma kwenye vyombo vya habari.Nawewe ndio wale wale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…