Elections 2010 Ni ongezeko la mishahara au masihara?

masasi

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
48
Reaction score
0
Tumeona jinsi gani taifa letu linavyoendelea kuwa la takwimu na watu kuishi kutegemea takwimu ya watawala wetu bila kuzingatia hali halisi,ni kejeli na dharau ya hali ya juu kwa wafanyakazi kuja na takwimu la ongezeko la mishahara huko hali halisi maisha yapo juu ya ongeyeko la mishahara,wafanyakazi tuamke na tuwapinge ccm na serikali yake na hizo takwimu zao,nia tunayo,uwezo tunao,sababu tunazo,tuamkeni na walishakataa kura zetu,yaa baba na mama zetu,wajomba na shangazi zetu,marafiki na wote wanaotutegemea
 
ni mimi tu sijakuelewa au hueleweki????
 
Hebu twambie hilo ongezeko ni sh ngapi kwa sababu mie nasikia nimeongezewa 18,000. sasa hzi zinasaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…