Ni pangua pangua yenye mkakati wa kuwaumiza watanzania 2025.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Wasiokuwa na upepo mzuri kwa kiongozi mkuu wote watasafishwa.

Kuna mkakati mkubwa na wenye nia ya kuhakikisha watanzania wanapata tabu ya kuumizwa baadq ya mwaka 2025.

Ni wazi kuwa watanzania wanaumia maana kiongozi aliyewatetea hayupo.

Kilichobakia ni kuwepo kwa mikakati ya kuweka mtandao wa kuwaumiza watanzania. Hii ni kufanya uchaguzi wa 2025 uwe mtelemko kwa mtandao huu wa CcM
 
Kwani ni chadema inayowaondoa?? Si ccm vs ccm? Shida iko wapi?

Maendeleo hayana vyama
 
Back
Top Bottom