Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwani ni chadema inayowaondoa?? Si ccm vs ccm? Shida iko wapi?Wasiokuwa na upepo mzuri kwa kiongozi mkuu wote watasafishwa.
Kuna mkakati mkubwa na wenye nia ya kuhakikisha watanzania wanapata tabu ya kuumizwa baadq ya mwaka 2025.
Ni wazi kuwa watanzania wanaumia maana kiongozi aliyewatetea hayupo.
Kilichobakia ni kuwepo kwa mikakati ya kuweka mtandao wa kuwaumiza watanzania. Hii ni kufanya uchaguzi wa 2025 uwe mtelemko kwa mtandao huu wa CcM
🤣🤣🤣Unateseka sana wewe mtekaji! Km kutetea wanyonge ni kuwateka na kuwaweka kwenye sandarusi acha watu wateseke! Kuimba ni kupokezana ndg
Dont be stupid.Unateseka sana wewe mtekaji! Km kutetea wanyonge ni kuwateka na kuwaweka kwenye sandarusi acha watu wateseke! Kuimba ni kupokezana ndg