Ni PC gani nzuri chini ya 1M inayoweza ku-run Adobe premier pro na games chache?

Ni PC gani nzuri chini ya 1M inayoweza ku-run Adobe premier pro na games chache?

Core i3 gen ya 11,

Sema kama unaweza kusubiri ni highly recommended usubirie aldarlake, maana inakuja na core nyingi sana hivyo itakuwa nzuri kwa video editing.
Hii aldarlake inatoka lini ?
 
Hii aldarlake inatoka lini ?
Mwisho wa mwaka huu mkuu. Tetesi mpaka thread 20 kwa i7,

Alternative tafuta used i5 gen ya 11 kwa sasa, ama gen ya 8 mpaka 10 yenye dedicated gpu hata kama ndogo.

Unahitaji angalau Quadcore na thread 8 kuwa relevant kwenye software na games za kisasa.
 
Mwisho wa mwaka huu mkuu. Tetesi mpaka core 20 kwa i7,

Alternative tafuta used i5 gen ya 11 kwa sasa, ama gen ya 8 mpaka 10 yenye dedicated gpu hata kama ndogo.

Unahitaji angalau Quadcore na thread 8 kuwa relevant kwenye software na games za kisasa.
Bei yake kwa makadirio yaweza kuwa sh. ngapi ikitoka??.
 
Back
Top Bottom