Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Grants na Valuer...hivi vinywaji vilitaka kunitoa roho...Lakini walevi huwa hatukomi!!...Naombeni ushauri wa kuacha pombe i see
 
Grants na Valuer...hivi vinywaji vilitaka kunitoa roho...Lakini walevi huwa hatukomi!!...Naombeni ushauri wa kuacha pombe i see
Walevi wooote huwa wanaombaga ushauri wa kuacha pombe ila hakuna aliepatiwaga ushauri akaufatilia...Grants, naipenda sanaaaa pole mkuuu, unataka uache pombe ufanye nini sasa?? Acha ujinga mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kidding
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! pombe hizi jamani ni noma, juzi nimekula tungi kinoma... Nakuja kushtuka asubuhi nimelala kwenye pool table halafu hata sikumbuki nimefikaje 😂😂
 
Elezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
Magaritha, pombe hii inaseviwa ikiwa na barafu, (ice), kwenye glasi iliyopakwa chumvi pembeni na kipande ChA limao. Hivyo unakunywa huku unaramba chumvi na limao. Glasi ya kwanza niliifurahia, yapili nikamwambia asiwe mabarabu maana yanapunguza Wingi WA kinywaji kwenye GLASI LAKINI MHUDUMU ALINISHANGAA lakini alitii maagizo yangu akanipa bila barafu ndani. Kwakweli sikujuwa kuwa kumbe Ile pombe ni kali SanA ikaniunguza mdomo na koo lote Hali yangu ilikuwa tete kidogo niondoke,
 
[emoji23][emoji23][emoji23]desperados inanipenda na mi naipenda balaa i can drink it mpk nichoke kitu kimenishinda ni (cognac) km hennessy [emoji3061]
 
Grants na Valuer...hivi vinywaji vilitaka kunitoa roho...Lakini walevi huwa hatukomi!!...Naombeni ushauri wa kuacha pombe i see
uache pombe then ukafanye nini😅😅
 
Jumamosi leo, jumatatu natumai kutakuwa na visa vya kutosha.😅
 
Walevi wooote huwa wanaombaga ushauri wa kuacha pombe ila hakuna aliepatiwaga ushauri akaufatilia...Grants, naipenda sanaaaa pole mkuuu, unataka uache pombe ufanye nini sasa?? Acha ujinga mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kidding
Hakuna utopolo sijanywa si Bia, Brandy, Spirit, Whiskey, Vodka....nataka kustahafu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katisha
 
Aisee.pombe ilimfanya vibaya rafiki yangu,tunakaribia kupiga pepa la mwisho kidato cha sita kule mkoani morogoro jamaa angu alipiga ulanzi akachanganya na gongo akapitiliza kabisa kunywa ,anarudi skuli usiku mnene mlango wa bwenini anauona mdogo,Mara anajaribu kuinama ili aingie ndani bwenini yan utafikiri mlango wa kuingilia bwenini ni kama mlango wa banda la kuku kumbe ni mlango mkubwa tu,basi jamaa alitukana bweni zima na kutapika koridoni na baraza za nje ya bweni zilijaa matapishi yake na kesho yake tulikuwa na pepa ngumu kumesa,kesho siku ya pepa alibaki analia tu kwenye exams room kila wakati anaomba abadilishiwe calculator...
 
Pole sana mkuu umenikumbusha habari ya valeur
nilikuwa na mwanangu mmoja mungu amlaze pema alikuwa akija likizo ni mwendo wa valeur vile vichupa vidogo siku tupo wanne
tukaamua kujirudishia shukrani na valeur vitoto box zima mama muuza akasema zimeisha tukaamia nyingine ya pakiti ilikuwa inaitwa samson
baada ya pakiti 3 nilifika home fresh wenge la taa likanichanganya nikaanza kurudisha chenji ghafla
nilitoka nje nikalala shambani kutoka saa nne mpaka majogoo
na mara ya mwisho kunywa hicho kinywaji na kupaki bus kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…