Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

pombe imenifanyia visa sana ukinywa pombe nyingi sehemu ya vibe unaweza kufanya vioja sana
 
Noma Sana aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23]nimejikuta nacheka mkuu kipindi cha ujana wangu na huyu manka tulikaa kama miez 5 tukazinguana akaondoka na kibendi nakuja kupata taarifa ngoma ina miez 3 na kitu siku namvalisha pete sikuamini asee nilifurah mno Nilipiga Magic Moment chupa 3 nikaja kuzinduka nipo hospitalini[emoji23][emoji23] manka akanifichia siri home wakajua naumwa kumbe nilizima Magic Moment[emoji23]
 
Hahahaa!!!!matokeo vipii!!
 
Mmhhh!
 
Hahhahaaa jaman hennesy sio ya kwenda nayo kibabe hata kidg..niliwah kunywa glas 2 toka aaa5 mchana had saa8..lakini nilikua nimelewa siku2...yaan noma mnoo mno
 

Hahahahhahaa mbavu zangu mm jaman .uwiii🤣🤣🤣🤣🤣😍
 
Nikiwa darasa la tatu, siku ya jumapili nimetoroka home kuingia kitaa ili nisiende kanisani. Nikaenda kukutana na masela wangu tukaenda nyumbani kwa mmoja wetu walikuwa wamepika pombe ya kienyeji. Basi tukagonga masalia weee...tukalewaaa, tukalala kwenye vivuli vya miti. Kuanzia asubuhi tukaamka jioni kabisa.😀

Kumbe huku natafutwa niende kanisani, narudi jioni nimechafuka balaa, nanuka pombe plus hangover. Nilipewa kipondo heavy weight😀😀😀😀

Sikuwahi kunywa baada ya hapo, sasa hivi ni mwendo mirinda nyeusi.
 


Hahahhaa na ww ulimix sana dah🤣🤣🤣
 
Kabisa iko hivyo.
Ile spirit inadhalilisha sana.
Mie Saint Anna huwa silewi...nikinywa nasikia kulala tu.
Mie huwa nachanganya Kvant na safari...hilo vibe lake si mchezo.
Nasaula tu popote.
Hahahahahahahhaa....nakufa mie kwa kicheko dah..madame bwan🤣🤣
 
Wanywaji wenzangu:

-Ulishagundua baada ya kutapika ni kama ulevi unaongezeka mara dufu na nertwork zinakata.

-Kuna wale hangover haiishagi yani mpaka ulale sanaaa...

-Ukiwa club kwenye mziki unakula gambe unajiona kam bado upo mzima na unacheza vizuri...Ukitoka sasa ukaenda penye utulivu au ukaenda gheto ndio unaanza kusikia kichwa kama kimefungwa mortar kinavyozunguka [emoji23]

-Wataalamu wa kukimbilia energy drink wakiona mambo yaananza kuwa sio.

-Wale ambao hatukumbukagi tuliingiaje ndani, unaamka mdomo mchunguuuu yaani huo mswaki unaotumia inabidi uutupe kabisa na kichwa nzitoo.

-Wale tunaoamini uchawi hauendagi kwa mla gambe [emoji23].

-Wale ambao ukiamua kuvumilia siku tatu bila gambe koo linawasha.

-Wale ambao ukila gambe ndio unaona kuwa akili zipo sawa yaani confidence na kushusha mapoint [emoji1787].

- Tuliopatia kazi kwenye gambe.

Hivi ambao hawajawahi kula gambe maisha yakoje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23],,,Eti anaomba abadilishiwe calculator
 

🤣🤣🤣🤣huwa wambea na wanafiki
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣👐👐👐🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…