Ni producer na studio gani walitengeneza kazi za Mr. Nice?

Ni producer na studio gani walitengeneza kazi za Mr. Nice?

Hujajibu swali nililokuuliza badala yake unaleta maelezo mareefu yasuyohusiana na uproducer.

Mimi nawewe kilaza nani hapo?
Wenye skima ya haya mambo wameshajibu,

Wewe kilaza kaa kimya,
Subiria ugali wa familia hapo kwa mdingi wako, ushibe, uweweseke vizuri!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasa zile za album yake ya kwanza kama vile "Kidali Po" na "King'asti",

Kwani Beat, Vocal, Mixing na Mastering zimekaa vizuri sana.

Ni profucer na studio gani walifanya zile kazi?

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Duh mkuu zile vocal na mastering zimekaa sawa?
Aisee ile production ya sebuleni kwa prod kameta zile vocal mbovu kabisa unasema zimekaa sawa.
 
Back
Top Bottom