Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Kameta records nahisi na Metro StudioProducer nadhani ni mwamba ajulikanaye kama Kameta, studio sikumbuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye skima ya haya mambo wameshajibu,
Wenye skima ya haya mambo wameshajibu,
Wewe kilaza kaa kimya,
Subiria ugali wa familia hapo kwa mdingi wako, ushibe, uweweseke vizuri!!!
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Mkuu,Hujajibu swali nililokuuliza badala yake unaleta maelezo mareefu yasuyohusiana na uproducer.
Mimi nawewe kilaza nani hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe man Walter alikua mwanafunzi
Laiti ungejua huyo uliyemtaja ni mtu ambae kilaza na uwakili tumemnyima kila akienda anapigwa chini miaka yote mpaka a ekataa kufanya mitihani.Hata Palamagamba nae alikuwa mwanafunzi, ni suala la muda tu
Bonny Luv.Ni nani alikuwa producer wa wimbo wa Friday Night ? kwangu mimi ndio wimbo bora zaidi kutoka kwa Mr. Nice
Bongo fleva ya asili ina raha zake...nyimbo ya kuparty lakini ina ujumbe ndani yake.Ni nani alikuwa producer wa wimbo wa Friday Night ? kwangu mimi ndio wimbo bora zaidi kutoka kwa Mr. Nice
Duh mkuu zile vocal na mastering zimekaa sawa?Hasa zile za album yake ya kwanza kama vile "Kidali Po" na "King'asti",
Kwani Beat, Vocal, Mixing na Mastering zimekaa vizuri sana.
Ni profucer na studio gani walifanya zile kazi?
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Ni kameta ile style ya takeu aliibuni kameta, kameta ndiye mwalimu wa man walterBonny Luv.
Wimbo wa Friday Night sio takeu. Alirekodi kwa Bonny kabla hajaenda kwa Kameta.Ni kameta ile style ya takeu aliibuni kameta, kameta ndiye mwalimu wa man walter
Kama friday night sawa nilidhan anaongelea album yake ile yenye sijui fagilia, kingastWimbo wa Friday Night sio takeu. Alirekodi kwa Bonny kabla hajaenda kwa Kameta.