Ni raha sana endapo!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Wanajamii hakuna kitu kinadumisha mapenzi kama ukiwa na mwenzi wako na mnaaminiana na pale unapomhitaji unampata!na akiwa kwenye shughuli zake kakuacha nyuma kakuacha na simu yake!Mpaka unahisi wewe ndo mwenye dunia!isitoshe unambiwa vipi utanipitia kazini?ni ishara tosha mapenzi yanakuwa yamemea!je wewe nimiongoni kati ya watu ambao mnaendesha mapenzi kwa stayle hii?Sema hisia zako je?
 
mapenz ya aina hyo yako peponi na sio duniani.
 

Unachosema ni kweli, na inapendeza sana kumpata mtu ambaye mnaaminiana naye kwa kiwango hiki. Najaribu kutafakari mimi na ile mada yangu ya "Nimeingia choo cha kike" sijui kama mimi ni miongoni mwa hao!
 
Mkuu nalazimika kuamini kuwa wewe ni mgeni katika ulimwengu wa mapenzi, kama sio mgeni basi ni Limbukeni.
(Samahani kwa neno kali, sikuwa na neno mbadala)
Kwahiyo ukiachiwa simu basi unajiona upo peke yako na unaamini kabisa mpenzio ni mwaminifu!!?
Pole sana kaka.
 
Hapo utakapogundua kumbe ana laini za simu zingine tatu usizozijua, ana njemba imempangishia chumba usichokijua A.K.A. "KWA RAFIKI YANGU", na anabalansi ratiba yako na ya mwenzako bila nyinyi kujijua ...... ndo utakapojua kwamba mwanamke ni hatari tangu enzi za Adam!

CHEZA NA MPIRA, USICHEZE NA MWANAMKE BANA DOGO!
 
Hayo mapenzi ya mwanzoni kabla true colors hazijaonekana subiri ipite miaka miatatu hv utaniambia!
 
After all was in place, God created MAN. Then RESTED.
Then God created WOMAN.
Since then NO ONE HAS RESTED!
 
Sijawahi kumwona mwanamke akipenda namna hii!
 
mi ikitokea mapenz hayo sijui itakuwaje maana nitachanganyikiwa sasa, hivi tunasumbuana nimedata vibaya sasa sijui itakuwaje kama yakiwa hayo.
 
yeah kwenye penzi kukiwa na uaminifu ndipo mtu unaenjoy, unajihisi ni wewe tu duniani..... na raha zaidi mtu huyo atakapokufanya uhisi umekamilika....


 
hapo mapenzi ya aina hiyo yapo japo yanatokea in a rare case kama ww haujabahatika wala usibishe subiri wenzio watoe ushuhuda...mi mapenzi yangu ni machanga siwezi comment chochote...kujisifia then yakanitokea puani akuu!ngoja nisubiri miaka miwili mitatu ikatike!
 

Kweli wewe ni great thinker.
 
CHEZA NA MPIRA, USICHEZE NA MWANAMKE .... !

nafurahi kuwa kuw watu wanajua hili. Halafu na nyie wanawake mnaolialia kutendwa na wapenzi wenu isomeni hiyo quote kimya kimya na muifanyie kazi.

Wanawake hoyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…