Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Da hii kweli kali, nimeipenda!After all was in place, God created MAN. Then RESTED.
Then God created WOMAN.
Since then NO ONE HAS RESTED!
Sipati picha ilikuwaje hii! eti kama unataka chakula kipo jikoni. sh***t, aisee! Kweli mapenzi sio.Usicheze na mwanamke hata siku moja mwenzio jana nimekula kwa sms yeye yuko chumbani mimi niko sebuleni kanitumia text "Chakula kipo jikoni" mwisho wa kunukuu siku zinaenda Comrade
mapenz ya aina hyo yako peponi na sio duniani.
Wanajamii hakuna kitu kinadumisha mapenzi kama ukiwa na mwenzi wako na mnaaminiana na pale unapomhitaji unampata!na akiwa kwenye shughuli zake kakuacha nyuma kakuacha na simu yake!Mpaka unahisi wewe ndo mwenye dunia!isitoshe unambiwa vipi utanipitia kazini?ni ishara tosha mapenzi yanakuwa yamemea!je wewe nimiongoni kati ya watu ambao mnaendesha mapenzi kwa stayle hii?Sema hisia zako je?
Usicheze na mwanamke hata siku moja mwenzio jana nimekula kwa sms yeye yuko chumbani mimi niko sebuleni kanitumia text "Chakula kipo jikoni" mwisho wa kunukuu siku zinaenda Comrade
Napitia previous comments wengi mpo VERY NEGATIVE kuhusu mahusiano mazuri ESPECIALLY MEN. Ni kwamba wengi mnatendwa au mmezoea tu kuponda?!
sio kwamba wanatendwa au wanaponda no! ila ni kwa sababu hawawezi kuwa na full comitment kwenye mapenzi wanapenda uchakachuaji
Alaah kumbe, kwahiyo ndo maana wanaona kila mtu mchakachuaji...!