Ni raha sana endapo!

Jamani mapenzi ya hivyo yapo sana tu endapo wawili wataamua, mbona tunakatishana tamaa jaman?kama hujawahi kuexperience bora useme hujawahi kubahatika na co kucriticize tu! Halafu nimegundua most of coments zinazompinga mtoa thread ni za men coz mnajijua hamuwezi ku2lia kwenye mapenzi..
 
Kwahiyo akikuachia simu mnawasilianaje sasa?
Hapa kunakitu umeshindwa kuelewa ninamaana hata akiwa yupo jikoni anapika,shughuli za hapa napale ndani ya nyumba!
 
haya ni mapenzi ya kisekondary na Kiprimary ....
kuachiwa simu SIO kigezo cha kuamini unapendwa . ...
Jamani nieleweni simaanishi kunipa simu nayeye kubaki bila simu namaanisha alipoiweka hana papara nayo siyo kama wewe hata maliwatoni unayo!usipoiona sekunde una hahaa!yeye hana hizo!!ila mimi yakwangu simuachii na ina password strong siyo weak!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…