Media za Kenya kwenye technology ya urushaji matangazo wako vizuri wametuacha mbali sana. Jamaa wako vizuri, presenters wako vizuri, na wanajua wanachorusha hewani.
Kwa mfano jana ilikuwa siku ya uwasilishaji wa Bajeti ya nchi Bungeni, media za Kenya zimepresent excellent, yaani mlaji anaelewa na ana enjoy. It's all about nambers sio maneno maneno. Graphs zenye mwonekano mzuri, tabulated nambers, yaani very very nice.
Hapa kwetu sasaaaa uuiwiiiii, utasikia NIKIRIPOTI KUTOKA BUNGENI DODOMA MIMI NI GODFREY MONYO WA ITV kamaliza. Habari inayofuata ni semina ya uhamasishaji kunywa maziwa eti nayo ni habari inarushwa prime time.
Wakenya hongera sana.