Ni rahisi kutamka Simba na Yanga kuliko Yanga na Simba

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Jaribu hilo zoezi utagundua kitu. Sijui Kuna kauchawi gani!
 
Huo ni mpangilio wa kialfabeti kati ya s na y ipi inaanza? Ukishajua ndo utajua kuwa ndiomaana Kuna dada na kaka, baba na mtoto, baba na mama,
Hii point Ina mashiko [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…