Ni rahisi Ngamia kipenya kwenye tundu la sindano kuliko Yanga kumuondoa mwarabu.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi Yanga wangeitoa Zesco. Ujuaji,Kutoshaurika na upangaji mbovu wa timu umechangia Yanga kufikia ukomo wa safari yake ya matumaini.Nasikitika kusema Yanga itapigwa kipigo cha mbwa koko!!
 
timu kali Misri ni Zamalek na Al Ahly tu, hao wengine Pyramid timu ya daraja la 2 hawana uwezo wa kutoa hata droo na Yanga.
 
Mbu mbu mbu msidhani waarabu wote wanajua mpira, hao pyramid ni waarabu koko hawana kitu,
 
Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi Yanga wangeitoa Zesco. Ujuaji,Kutoshaurika na upangaji mbovu wa timu umechangia Yanga kufikia ukomo wa safari yake ya matumaini.Nasikitika kusema Yanga itapigwa kipigo cha mbwa koko!!

Mikia mlikuwa na mipango mizuri ndio maana mkamtoa UD Songo.
 
Sasa ukisema mwarabu tukuelewe vipi?Mnakimbilia kupost kama mnakimbizwa bwana! taja hiyo club inatokea taifa gani! Morocco, egypt au tunis?
 
Mwinyi Zahera alibashiri mechi ya ZESCO United, afukuzwe haraka sana!
 
Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi Yanga wangeitoa Zesco. Ujuaji,Kutoshaurika na upangaji mbovu wa timu umechangia Yanga kufikia ukomo wa safari yake ya matumaini.Nasikitika kusema Yanga itapigwa kipigo cha mbwa koko!!
Mbumbumbu FC mna galagala mchangani mmechanganyikiwa, waacheni wakimataifa wapambane. Nyie nendeni Kigoma kucheza mechi ya kirafiki. Ama kwahakika UD SONGO wali wadhalilisha vibaya sana, mbaka Leo akili hazija wakaa sawa.
 
Wakimataifa mwisho wenu tarehe 27/10/2019 tarehe 3/11/2019 mtaenda kushangaa waarabu Misri
 
wameshindwa hata kupeleka mwakilishi kwenye upangaji wa ratiba, wenzao mipango huanza muda huohuo ratiba wao wanasubiri mpaka siku mbili mechi ichezwe wanakimbilia tff kuomba kuahirishiwa mechi. Sasa hivi mwisho wao umefika
 
Tatizo la yanga ni kuanzia uongozi kocha hadi mashabiki.
Uongozi umesajili wachezaji kwa kukurupuka. Timu haiko balanced kiufundi. Kuna wachewaji namba 4 zaidi ya watano ally ally, ally sonso, dante, lamire nk wakati natural full backs namba 2 n 3 ni wawili tu boxer n macelo na huyo marcelo analetwa dk za mwisho baada ya gadiel kusaini simba wakawa na aibu timu haina left back wakaletewa na mwigulu toka singida. Same story mbele kuna namba 10 zaidi ya wa nne wakati namba 9 targetman hamna. Hiyo molinga hakuna mchezaji mule. Mchezaji hata kama hana match fitness akigusa mpira unajua mguuni kuna jambo.
Kocha. Zahera nae akijua timu imesajiliwa ni almost mpya alitakiwa awahi preseason awajue wachezaji wake. Badala yake kaja dk za mwisho. Ligi inaannza hawajui wachezaji wake. Pili.zahera anatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu molinga ni mchezaji huku akiwa hana match fitness kama anavyodai. anawaacha wengine jukwani ambao wako.fit zaidi yake. Tatu waliweka kambi mwanza kujiandaa na zesco lakini cha ajabu akampanga molinga game zote wakati akijua hawezi kumtumia mechi dhidi ya zesco. Kwanini hakuwatumia kina balinya kalengo katika kuwaandaa game na zesco.
 
Uchambuzi makini kabisa.

Back
Top Bottom