Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi Yanga wangeitoa Zesco. Ujuaji,Kutoshaurika na upangaji mbovu wa timu umechangia Yanga kufikia ukomo wa safari yake ya matumaini.Nasikitika kusema Yanga itapigwa kipigo cha mbwa koko!!
Leicester city walichukua EPL kwa bajeti ndogo..mikia kapimeni marindaMwarabu kuna wachezaji wamenunuliwa kwa billion 15,sawa sawa na bajeti ya yanga kwa miaka 15
Mbumbumbu FC mna galagala mchangani mmechanganyikiwa, waacheni wakimataifa wapambane. Nyie nendeni Kigoma kucheza mechi ya kirafiki. Ama kwahakika UD SONGO wali wadhalilisha vibaya sana, mbaka Leo akili hazija wakaa sawa.Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi Yanga wangeitoa Zesco. Ujuaji,Kutoshaurika na upangaji mbovu wa timu umechangia Yanga kufikia ukomo wa safari yake ya matumaini.Nasikitika kusema Yanga itapigwa kipigo cha mbwa koko!!
Wakimataifa mwisho wenu tarehe 27/10/2019 tarehe 3/11/2019 mtaenda kushangaa waarabu MisriMbumbumbu FC mna galagala mchangani mmechanganyikiwa, waacheni wakimataifa wapambane. Nyie nendeni Kigoma kucheza mechi ya kirafiki. Ama kwahakika UD SONGO wali wadhalilisha vibaya sana, mbaka Leo akili hazija wakaa sawa.
Acha UZUZU. Umeangalia msimamo wa ligi kuu ya EGYPT? Pyramids Fc ni ya 2 nyuma ya AL AHLYtimu kali Misri ni Zamalek na Al Ahly tu, hao wengine Pyramid timu ya daraja la 2 hawana uwezo wa kutoa hata droo na Yanga.
Tatizo la yanga ni kuanzia uongozi kocha hadi mashabiki.
Uongozi umesajili wachezaji kwa kukurupuka. Timu haiko balanced kiufundi. Kuna wachewaji namba 4 zaidi ya watano ally ally, ally sonso, dante, lamire nk wakati natural full backs namba 2 n 3 ni wawili tu boxer n macelo na huyo marcelo analetwa dk za mwisho baada ya gadiel kusaini simba wakawa na aibu timu haina left back wakaletewa na mwigulu toka singida. Same story mbele kuna namba 10 zaidi ya wa nne wakati namba 9 targetman hamna. Hiyo molinga hakuna mchezaji mule. Mchezaji hata kama hana match fitness akigusa mpira unajua mguuni kuna jambo.
Kocha. Zahera nae akijua timu imesajiliwa ni almost mpya alitakiwa awahi preseason awajue wachezaji wake. Badala yake kaja dk za mwisho. Ligi inaannza hawajui wachezaji wake. Pili.zahera anatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu molinga ni mchezaji huku akiwa hana match fitness kama anavyodai. anawaacha wengine jukwani ambao wako.fit zaidi yake. Tatu waliweka kambi mwanza kujiandaa na zesco lakini cha ajabu akampanga molinga game zote wakati akijua hawezi kumtumia mechi dhidi ya zesco. Kwanini hakuwatumia kina balinya kalengo katika kuwaandaa game na zesco.