Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
We ndio huna akili, Yanga hatuna shida na hilo kombe, tumeshalichukua sana, kombe tunalotaka ni la afrika, hilo kombe tumechukua mara 27.
Wewe waache...yatawakuta muda siyo mrefu Kama ya Man City.,watu wanakusanya data tu kwa Sasa kuhusu rushwa na uhongaji wa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani...Kuna timu inaweza ikashushwa daraja...ni rahisi Sana kudukua simu...yaani game inakaribia kuchezwa baadhi ya watu wanaojiita wa watu wa mpira wa klabu Fulani muda mwingi wanahangaika kutafuta simu za wachezaji au kocha wa timu fulani. What for?!? Ni rahisi kabisa kutambua game iliyonunuliwa...mashabiki wanaaminishwa timu ni Bora kumbe ni ubora wa kununua game....Miaka michache tu iliyopita Juventus iliwahi kushushwa daraja kwa kuendekeza ujinga Kama huu.
Kwamba hamtaki kufa ila mnataka kuingia mbinguniWe ndio huna akili, Yanga hatuna shida na hilo kombe, tumeshalichukua sana, kombe tunalotaka ni la afrika, hilo kombe tumechukua mara 27.
Mkuu unamtukana mama yako,dada zako ,shangazi zako nk wa ajili ya Huyo Bwege,nyie mabwege Sana!We bwege halafu utakuwa mwanamke hujui mpira. Kombe la afrika mnalichukuaje? Hivi wewe una akili kweli hata kidogo? Unatia kinyaa....
Utafiti umefanyika na kuthibitishwa kuwa mashabiki wa Simba wengi ni jobless au wsendesha Bodaboda na Maguta sokoni. Ndiyo maana kelele nyingi mitandaoni.Mkuu unamtukana mama yako,dada zako ,shangazi zako nk wa ajili ya Huyo Bwege,nyie mabwege Sana!
Hapo C piga hesabu vizuri. Maana kuna match wanakutana wao kwa wao.Mpaka sasa mechi zilizochezwa*
1. Simba mechi 21
2. Azam mechi 21
3. Yanga mechi 19
B Mechi Walizobakisha*
1. Simba mechi 17
2. Azam mechi 17
3. Yanga mechu 19 .
.
C* wakishinda mechi zote zilizobaki*
1. Simba itaongeza points 51
2. Azam itaongeza points 51
3. Yanga itaongeza points 57.
.
.
D Wakishinda mechi zote zilizobaki*
1. Simba itafikisha points 104
2. Azam itafikisha points 95
3. Yanga itafikisha points 95 .
.
E. Ili Simba awe bingwa anatakiwa kushinda mechi 14 kati ya 17 alizobakiwa nazo* .
.
F* Ili Azam awe bingwa inatakiwa ashinde mechi zote 17 na simba walau afungwe 3 na atoe droo 1 .
.
G. Ili Yanga awe bingwa inatakiwa ashinde mechi zote 19 zilizobaki, azam afungwe walau mchezo mmoja, simba afungwe walau mechi 3 na kutoa droo mechi 1.* .
.
H. Ikitokea Simba wakafungwa mechi 3, Yanga akashinda mechi zake zote 19 na Azam akashinda mechi zake zote 17 wote watatu watakuwa na point 95. Lakini Simba atakuwa na faida ya goal difference. Hivyo atakuwa bingwa.
Wewe waache...yatawakuta muda siyo mrefu Kama ya Man City.,watu wanakusanya data tu kwa Sasa kuhusu rushwa na uhongaji wa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani...Kuna timu inaweza ikashushwa daraja...ni rahisi Sana kudukua simu...yaani game inakaribia kuchezwa baadhi ya watu wanaojiita wa watu wa mpira wa klabu Fulani muda mwingi wanahangaika kutafuta simu za wachezaji au kocha wa timu fulani. What for?!? Ni rahisi kabisa kutambua game iliyonunuliwa...mashabiki wanaaminishwa timu ni Bora kumbe ni ubora wa kununua game....Miaka michache tu iliyopita Juventus iliwahi kushushwa daraja kwa kuendekeza ujinga Kama huu.
Utafiti umefanyika na kuthibitishwa kuwa mashabiki wa Simba wengi ni jobless au wsendesha Bodaboda na Maguta sokoni. Ndiyo maana kelele nyingi mitandaoni.
nyie matahira ndo mnafanya yanga aitwe mbutembute fc na akili za namna hii ndo zinafanya wachezaji kutumia viwiko kucheza mpira.RubishWe ndio huna akili, Yanga hatuna shida na hilo kombe, tumeshalichukua sana, kombe tunalotaka ni la afrika, hilo kombe tumechukua mara 27.
Ilo labda mumtume.morrison akaliibeWe ndio huna akili, Yanga hatuna shida na hilo kombe, tumeshalichukua sana, kombe tunalotaka ni la afrika, hilo kombe tumechukua mara 27.
Akili za vyura hizi. Unachukuaje la afrika wakati njia ya kulichukua kombe kubwa la afrika ni kuchukua la ligi? Au unadhani simba itaendelea kuwabeba?We ndio huna akili, Yanga hatuna shida na hilo kombe, tumeshalichukua sana, kombe tunalotaka ni la afrika, hilo kombe tumechukua mara 27.
Bila Shaka huo utafiti kafanya Humphrey Polepole na Dk BashiruUtafiti umefanyika na kuthibitishwa kuwa mashabiki wa Simba wengi ni jobless au wsendesha Bodaboda na Maguta sokoni. Ndiyo maana kelele nyingi mitandaoni.
yanga hawana hela ya KUHONGA...itakuwaje bingwa kwa hali hii?Mpaka sasa mechi zilizochezwa*
1. Simba mechi 21
2. Azam mechi 21
3. Yanga mechi 19
B Mechi Walizobakisha*
1. Simba mechi 17
2. Azam mechi 17
3. Yanga mechu 19 .
.
C* wakishinda mechi zote zilizobaki*
1. Simba itaongeza points 51
2. Azam itaongeza points 51
3. Yanga itaongeza points 57.
.
.
D Wakishinda mechi zote zilizobaki*
1. Simba itafikisha points 104
2. Azam itafikisha points 95
3. Yanga itafikisha points 95 .
.
E. Ili Simba awe bingwa anatakiwa kushinda mechi 14 kati ya 17 alizobakiwa nazo* .
.
F* Ili Azam awe bingwa inatakiwa ashinde mechi zote 17 na simba walau afungwe 3 na atoe droo 1 .
.
G. Ili Yanga awe bingwa inatakiwa ashinde mechi zote 19 zilizobaki, azam afungwe walau mchezo mmoja, simba afungwe walau mechi 3 na kutoa droo mechi 1.* .
.
H. Ikitokea Simba wakafungwa mechi 3, Yanga akashinda mechi zake zote 19 na Azam akashinda mechi zake zote 17 wote watatu watakuwa na point 95. Lakini Simba atakuwa na faida ya goal difference. Hivyo atakuwa bingwa.
Na utaliendesha sana tu, hadi USO uwe full makunyanzi.Acha nicheke kama huu ni uandishi wa msomi mahiri bora niendelee kuendesha guta
Sent using Jamii Forums mobile app