Ni rahisi sana kumuelewesha jambo UVCCM kuliko mwana CHADEMA, tubadilike

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
 
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba .

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua .
Uwe unachora na michoro unavyoelekeza
 
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Ulitaka wawe wanakukubalia upuuzi wako bila ya kuku challenge?
Siku watakapoanza kukuelewa basi ujue uwezo wao kiakili ndiyo umesnza kushuka au wamejivisha UCHADEMA wakati ni CCM wenzako kama wewe unavyojivisha UCHADEMA
 
Ulitaka wawe wanakukubalia upuuzi wako bila ya kuku challenge?
Siku watakapoanza kujuelewa badi ujue uwezo wao kiakili ndiyo umesnza kushuka au wamejivisha UCHADEMA wakati ni CCM wenzako kama wewe unavyojivisha UCHADEMA
Kutokuandika yanayokupendeza haina maana mimi ni Mwana CCM au CHADEMA , mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
 
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Machadema yamekaa ushauri,ubishi,Ukuaji mbuzi na kuchukuliwa siasa kama ni ushabiki au undugu wa ukoo.

Huwa hawataki kabisa kuelewa jambo kama mashabiki wa Mwendazake
 
Kutokuandika yanayokupendeza haina maana mimi ni Mwana CCM au CHADEMA , mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
Hakuna mahala nimeongelea KUPENDEZA, nimesema UJINGA wako.
Kama unaongelea KUPENDEZA mbona wewe usivyopendezwa na majibu yao, yaani kwao nyeupe inapikuwa nyeupe na nyeusi kuwa nyeusi unakimbilia kusema ni wazito kuelewa? Ulitakka waelewe utakavyo wewe ili wafanane na wewe?
 
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Uelewa wa vitu haufuati chama, bali akili na pamoja na exposure ya mtu awe CCM au Chadema. Ukiamini hivyo uliyoandika, then utakuwa pia umebariki madudu yaliyofanyika katika chaguzi za 2019 na 2020, maana ilikuwa kwamba ni CCM tu ndio waliojua kujaza fomu na vyama vingine hawakujua wakati miaka yote tangu 1992 wagombea wamekuwa wakijaza fomu na tatizo la 2019 na 2020 lilikuwa halijajitokeza.
 
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Wewe siyo CHADEMA ni UWT full nakujua
 
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.

Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.

Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Ni kweli
P
 
Back
Top Bottom