Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Uwe unachora na michoro unavyoelekezaBinafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba .
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua .
hakikaUwe unachora na michoro unavyoelekeza
Ulitaka wawe wanakukubalia upuuzi wako bila ya kuku challenge?Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Kutokuandika yanayokupendeza haina maana mimi ni Mwana CCM au CHADEMA , mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusiUlitaka wawe wanakukubalia upuuzi wako bila ya kuku challenge?
Siku watakapoanza kujuelewa badi ujue uwezo wao kiakili ndiyo umesnza kushuka au wamejivisha UCHADEMA wakati ni CCM wenzako kama wewe unavyojivisha UCHADEMA
Machadema yamekaa ushauri,ubishi,Ukuaji mbuzi na kuchukuliwa siasa kama ni ushabiki au undugu wa ukoo.Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Hakuna mahala nimeongelea KUPENDEZA, nimesema UJINGA wako.Kutokuandika yanayokupendeza haina maana mimi ni Mwana CCM au CHADEMA , mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
Uelewa wa vitu haufuati chama, bali akili na pamoja na exposure ya mtu awe CCM au Chadema. Ukiamini hivyo uliyoandika, then utakuwa pia umebariki madudu yaliyofanyika katika chaguzi za 2019 na 2020, maana ilikuwa kwamba ni CCM tu ndio waliojua kujaza fomu na vyama vingine hawakujua wakati miaka yote tangu 1992 wagombea wamekuwa wakijaza fomu na tatizo la 2019 na 2020 lilikuwa halijajitokeza.Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Tuache Mashabiki wa MwendazakeMachadema yamekaa ushauri,ubishi,Ukuaji mbuzi na kuchukuliwa siasa kama ni ushabiki au undugu wa ukoo.
Huwa hawataki kabisa kuelewa jambo kama mashabiki wa Mwendazake
Wewe siyo CHADEMA ni UWT full nakujuaBinafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
Huyu ni UWT hana loloteHaya tueleze ulituelewesha lipi tukashindwa kuelewa
Ni kweliBinafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba.
Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana Nyeusi sio kila wakati ni Nyeusi inaweza kuwa Nyeupe.
Ni bora UVCCM wanaelewa ila wanashupava vichwa huku ukweli wameujua.
πππHuyu ni UWT hana lolote