Taratibu za kuappeal zipo au hazipo? Na je utaratibu ukoje? Mimi nina experience ya tofauti sana katika hili. Labda kama mwanafunzi mwenyewe awe hafahamu taratibu hiiWalimu wote Wana kasumba ya kufanana aisee high marks hutolewa kwa wachache kwa kujuana. So wengi hutoa b plain na makarai kwa wingi walah
Na mie mkuu ni mwanafunzi wako najaribu kujifunza kutokana na hesabu hii.Mkuu hizo namba nilizoandika sio halisi bali ni kwa ajili ya kujifunzia tu hesabu.
Kwakweli maana college moja ya UDOM inaweza ikawa IFM na CBEKwanza kabisa UDOM kuna wanafunzi mafuriko ya kutosha. Hapa kama unajua basic maths utajua kwamba tukija kwenye hesabu za uwiano chuo cha IFM chenye wanafunzi 10 ukapata First Class 1 na UDOM penye wanafunzi 1000 ukapata First Class 100 ni kitu kile kile.
Kumbe wewe umehudhuria mahafali na sio masomo? Ulizia kwanza selection za masomo wanaanza first class wachaguliwa kwenda Chuo gani? UDOM hawapo labda Education kama Chang'ombe (DUCE)Ukihudhuria maafari Yao vyuo Tajwa hapo juu
UDSM, IFM, SUA, MZUMBE Si rahisi kusikia wanatangaza wanafunzi wenye first class wengi, utakuta wanne au watano hawazid kumi mara nyingi. Lakini ukienda UDOM utakuta first class wapo 70. Sababu nini? UDSM na IFM hawana walimu competent kama UDOM au?
Kibongo u-appeal nani ana huo muda kazi zinazokuwaga fair ni zile za kwa external tu the rest vile vile.Taratibu za kuappeal zipo au hazipo? Na je utaratibu ukoje? Mimi nina experience ya tofauti sana katika hili. Labda kama mwanafunzi mwenyewe awe hafahamu taratibu hii
Mkuu taratibu zipo na zinashughulikiwa. Nadhani issue ni uelewa wa taratibu hiziKibongo u-appeal nani ana huo mda kazi zinazokuwaga fair ni zile za kwa external tu the rest vile vile.
Huyu aliyewaambukiza watoto wa kizazi hiki ugonjwa wa GPA na kuhusudu majina ya vyuo kaharibu sana maana ya elimu ya juu. Ukivikuta huko vimekaa vichwani hamna kitu, vilivyopo kazini tija hakuna vinatambiana GPA na vyuo vilivyosoma, kama haka hapa hata neno MAHAFALI hakawezi kuandika ila kana ujuzi wa kupima ubora wa elimu inayotolewa na taasisi za elimu ya juu.
Kengine kamekuja juzi ofisini kwa ajili ya mchakato fulani kwenye vyeti vyake (kahitimu ka St. nini sijui huko maana vyuo vingi siku hizi) na ki CV chake kimeandikwa lugha isiyofahamika (inafanana na Kiingereza). Hiyo barua ndio balaa!! Makaratasi yake yameandikwa ana GPA ya 4.1. Katika story eti kananiuliza bro GPA (yangu) inasoma lakini!? Nikacheka then nikaiba muda wangu mwenyewe nikakafanyia counselling ya kina kidogo.
Mkuu taratibu zipo na zinashughulikiwa. Nadhani issue ni uelewa wa taratibu hizi