EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Ni Rais Dkt John Magufuli pekee mwenye uwezo wa kudhibiti haya.
1.Kuondoa wavivu na wasiopenda kufanya kazi
2. Kuondoa mafisadi
3.Kuondoa wala rushwa
4. Kuondoa watakatishaji wa fedha za miradi
5. Kuondoa wafanya biashara za magendo
6. Kuondoa wenye vyeti feki
7. Kuondoa wala mishahara hewa
8. Kuondoa majizi ya bandarini na TRA
9. Kuondoa wakwepa kodi kwa mgongo wa serikali na kutoa rushwa
11. Kuondoa wafanya biashara wa bangi na dawa za kulevya na kukomesha hayo yote
13. Kuondoa wenye maadili mabovu kazini na wafanya kazi kwa mazoea
14. Kuondoa Waliozoea vya bwelele badala ya kupiga kazi.
Ndugu zangu tuacheni utani hasa kwa mambo muhimu. Magufuli anaitosha Tanzania.