Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili.
Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati turudishe kiingereza mashuleni ili wenye vipaji wapate soko la kujitanua nje ya mipaka.
Kumbukeni nchi yetu ni mwanachama wa commonwealth hivyo tusijitenge kwa kujinyima kuiongea lugha hii mashuhuli duniani ya commonwealth.