Unapokikataa Kiingereza elewa unazidi kujitenga na Dunia. Ukweli lazima tuukubali na kuukumbatia. Mzungu hata kama hatumpendi Kiingereza chake ndiyo lugha ya dunia. Hatuna namna tukikubali tu Kiingereza. Alietangulia katangulia tu.Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili.tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala ghana kisa language barrier. sasa umefika wakati turudishe kiingereza mashuleni ili wenye vipaji wapate soko la kujitanua nje ya mipaka. kumbukeni nchi yetu ni mwanachama wa commonwealth hivyo tusijitenge kwa kujinyima kuiongea lugha hii mashuhuli duniani ya commonwealth.
Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili.
Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati turudishe kiingereza mashuleni ili wenye vipaji wapate soko la kujitanua nje ya mipaka.
Kumbukeni nchi yetu ni mwanachama wa commonwealth hivyo tusijitenge kwa kujinyima kuiongea lugha hii mashuhuli duniani ya commonwealth.
Good [emoji106]Kuna watu wavivu sana wa kuielewa Dunia hasa upande wa lugha...! na watanzania ni sehemu ya hao watu... wana penda story za vijiweni kuliko kutafuta taarifa sahihi...
hajiulizi kwanini ktk mahotel ya kitalii wahudumu wana jifunza lugha za mataifa mbalimbali...
kuna marafiki wengi toka mataifa yasiyo zungumza kizungu/kingereza wana tembea duniani bila kujali kuwa kuna ugumu wa lugha...
na hujiulizi wengine wana jifunza lugha zaidi ya moja... ebu kamuulize kocha wa Yanga ambaye yeye hajishughulishi na kingereza zaidi ya kuongea kifaransa na kiarab kma sikosei... kingereza ana zungumza kwa tabu sana...
watanzania ni masikini, na wanasiasa wana wajaza umasikini ili mcheze vyema midundo yao kwa kuwa akili kisoda...
Ingia umoja wa ulaya angalia lugha imetafsiliwaje (Lugha inayo takiwa na levels zake)
ondoeni uoga na kujitenga...
Good[emoji106]Tuna EAC nchi nane sijui saba zina zungumza kiswahili (kuna nguvu hapa ya kukifanya kiswahili kishamiri)...
Tuna SADC nchi kibao (kiswahili ni lugha inayo tumika, nchi kadhaa zimeanza kama Namibia, SA etc)...
Tuna Africa nchi sijui hamsini na ngapi kiswahili kina nafasi huko AU...
Tuna UN kina tambua lugha ya kiswahili...
Leo baada ya kukiimarisha kiswahili tuna taka kuachana nacho...
Kuna mataifa hupewi work permit bila kujifunza lugha ya nchi yao ktk level iliyo wekwa... na ni sehemu ya kuingizia pesa nchi hizo, Leo TZ wageni ni wengi na kiswahili hawajui bali sisi ndio tuna lazimika kuwa watumwa ktk nchi yetu tunapo muona mzungu...
walio enda nchi za ulaya ambazo hawa zungumzi kingereza wana wajibu pale wanapo kutana na locals(wenyeji)
Watanzania ujinga upo kichwani... ni kansa/tatizo...
Tuna shindwa kukipangia mikakati na nchi zinazo zungumza kiswahili ili kikue kiende mbali, kiwe na thamani zaidi... lakini ndio kwanza tuna kichukia huku kukiwa hakuna ufumbuzi...
Good [emoji106]wachukue sijui mapofesa hata yule wa ubungo, hau yule muhindi mnae sema ni gwiji wa sheria... wapeni mijadala ya kiswahili huone vichwa vilivyo kuwa vyeupe, ila wakio ongea au kuzungumza kingereza kwa madesa waliyo meza utazani ni majiniazi kumbe ni hamna kitu...
na hapa ndipo mna kuja chukia wasomi, sababu kuu wamesoma ktk lugha wasiyo ielewa, wamekariri madesa ili wafauli hivyo hawana maajabu...
tulio soma vyuo tuna jua kuwa lazima ukariri ili ufaulu, wachache sana wana kuwa the best...
bwashee wako wasanii kwa jitihada zao wamejifundishwa kuongea kiingereza kama Harmonize,Diamond na wengineo.Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili.
Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati turudishe kiingereza mashuleni ili wenye vipaji wapate soko la kujitanua nje ya mipaka.
Kumbukeni nchi yetu ni mwanachama wa commonwealth hivyo tusijitenge kwa kujinyima kuiongea lugha hii mashuhuli duniani ya commonwealth.
mtoto huzaliwa empty hajui lugha yoyote hivyo si haki kulazimisha kusomesha watoto kwa kiswahili.mimi naona hapa kinachotakiwa ni kulipa mkazo somo la kiingereza na sio kulazimisha watu kujifunzia lugha wasiyoijua
napendekeza baadhi ya masomo yafundishwe kwa kiswahili kwa sababu kuna mabashite wengi huko phdiini