Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Alhamisi ijayo June,27 dunia itashuhudia miamba ya siasa za Marekani ikifanya mdahalo wa kwanza wa wazi kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi November mwaka huu 2024.
Wakati Rais Joe Biden, mwenye umri wa miaka 81, akikita kambi yake ya siri ya maandalizi ya kujifua na mdahalo huo muhimu huko Camp David, rais mstaafu Donald Trump mwenye umri wa miaka 78, alionekana jumamosi hii akiendelea na kampeni zake huko Philadelphia.
Masuala ya umri, utimamu wa fikra na kumbukumbu na utimamu wa mwili na akili vinatarajiwa kuteka sehemu ya mdahalo huo muhimu sana unaosubiriwa kwa hamu na gamu hasa na undecided and unengaged voters wa Marekani...
Kwa maoni yako nani kati yao atamnyong'onyeza mwenzake mapema kwenye mdahalo huu wa kwanza? Na kwanini?
Kuna cha kujifunza kama wa Africa hususani Tanzania?🐒