Ni rangi ya Kampuni gani na aina gani inayofaa kupaka kwenye mabati?

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,521
Reaction score
1,906
Wakuu habari za Miangaiko,

Mabati yangu yameanza kupauka hivi na kuweka vitu vinavyoonekana kama kutu hivi. Nataka kupaka rangi hivyo naomba uzoefu na kujua rangi ya kampuni / aina gani hasa inafaa kwa kazi hii. Ama uzoefu na ushauri mwingine wowote

Natanguliza shukrani za dhati

Nyati - Mikumi
 
Nenda kwenye hardware ulizia rangi ya bati PVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…