Amapiano (ayy), diano (ayy)Muziki wa bongo ushakuwa takataka...wameacha kuimba miziki yetu tuliyoizoea....na kung'ang'ana na miziki ya south....rubbish...
Muziki hauna hata style maalum ya uchezaji....
hata sisikilizagi bongofleva siku hizi...
Nikisikia amapiano yoyote huwa nazima redio...maana muziki wa bongo umesha poteza ladha!
Back to my roots... reggae music