Ni Rasmi sasa kiwanda cha magari ya Volkswagen chafunguliwa Kenya

Hawa VW itakuwa walishindwana na ule uongozi uliopita ambapo kila kitu kilihusisha 10%.Ni matumaini yangu kwa sasa TZ tuna sera nzuri sana kwa wawekezaji.
 
Kuanzisha kiwanda sio issue kubwa,issue hapo ni je Africa mashariki how many people can buy brand new car? Watauza ulaya yaliko mengi? au america? Au japani?Vitz yenyewe mpya m 30,je hizo voks? Ngoja tusubiri tuone,mwanzoni si walisitisha?
Hapa umenena vizuri sana mkuu,swala ni kuwa ni wangapi wenye jeuri ya kununua gari yenye odometer inayosoma 0 km kwenye hizi nchi zetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…