sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Mkuu harmonize unamzungumziaje? 😎View attachment 3366965
Huyu hapa Mbosso aka Mshedede.
Alipotoka kwenye lebo namba moja Africa Mashariki ya WCB kila mtu alisubiri kuona anafanya nini.
Kiukweli nathibitisha sasa Mbosso ameiva.
First touch yake ni zaidi ya expectations za wengi amevuka mstari wa matarajio.
Ametoa EP nzuri sana, lakini akuishia hapo.
Promotion ya EP yake ni babu kubwa yani katika wanafunzi wa Diamond huyu naweza kusema kapata alama A+.
Kila kitu kwenye promo kipo on point.
Kila la heri Kilungi, umeweza. Umemheshimisha Simba.
Maromboso anajitahidi, namtakia kila kheri katiaka kuburudia uma.Hakika mm na ndege tuna la kujifunza cc secretarybird
NaaamMaromboso anajitahidi, namtakia kila kheri katiaka kuburudia uma.
Namsihi asiwe chawa kama diamondi!
Mbosso ndio mwandishi bora kabisa kwenye game ya bongofleva hakuna wa kumgusa kizazi hiki.Mboso huyu mwenye mashairi mepes mepes??? Au yupi?? Dokta nicheki homaaa ama UTI,nipe damuuu ama maleriaaa...dokta panawashaa panaumaaa daaaahhh😂😆😆😆😂
Mbosso toka atoe "Sele" sijui namuonaje, yaan km hayuko serious na Industry.Mboso huyu mwenye mashairi mepes mepes??? Au yupi?? Dokta nicheki homaaa ama UTI,nipe damuuu ama maleriaaa...dokta panawashaa panaumaaa daaaahhh😂😆😆😆😂
Mitego unampa nafasi ya ngapi?Mbosso ndio mwandishi bora kabisa kwenye game ya bongofleva hakuna wa kumgusa kizazi hiki.
Tanzania kwani Kuna mtu tupo serious?Mbosso toka atoe "Sele" sijui namuonaje, yaan km hayuko serious na Industry.
Siwezi sema kachoka au kaishiwa, maana bado sana kwenye game, ila namuona ki namna ya tofauti na mwanzo.
😂😂😂😂😂
Ndyooo.Tanzania kwani Kuna mtu tupo serious?
Mbona kama comedians tu, kuanzia nyumba nyeupe na mmekaaa tu kama minyumbuNdyooo.
Duuuh!!Mbona kama comedians tu, kuanzia nyumba nyeupe na mmekaaa tu kama minyumbu