Ni rasmi sasa tumepata The Kadarshian Family Tanzania version

Ni rasmi sasa tumepata The Kadarshian Family Tanzania version

Familia ya Kadarshian haiishi vituko , mara baba ameamua kuvaa magauni. Sasa ni wazi tuna version yetu Tanzania.
Ila Kadarshian family wameshakua. Wamestaafu.

Sasa huku kwetu wazee wazima ndio kwanza kumekucha.
 
Waliamua wafike kwenye peak kwa kutumia media na wataahushwa na hizo hizo media ,itafika mahala hata wafanye nini hamna atakayewafuatilia
 
Back
Top Bottom