music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Watu wengi najua wanafahamu zaidi recruitment portal ya serikali yani ajira portal. Lakini zipo portal nyingi tu ajira za watu tofauti tofauti.
Mimi binafsi nawakubali cvpeople walishanipa interview tatu tofauti na moja ikawa nimepata ajira. Zamani nilikuwa nawaelewa empower pia ila baadae wakaanza kuwa complicated bila sababu za msingi.
Wewe unaikubali job portal ipi?