music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Kujiunga tu haitoshi, unapaswa kuweka details zako zote vizuri. Na uwe unarudi ku-update. Uwa wanaweka kazi ukiona unaaplly ni rahisi tu au wenyewe wakiona kazi inakufaa kutokana na details zako wanakupigia simu. Mimi kazi yangu wao walinipigia simu bila kuomba nikaenda kwa mwajiri kufanya interview.Labda mm.unielekez hao cv people na empower wakoje
Maana mm.nilijiunga huko ila nothing until now
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ,km mm vile, saiv Nina kibanda changu Cha mpesa,nshaisahau hata kuapply ,ngoja nkomae Nako haka haka tutatoboa tu.ajira za bahat sana siku hiz,acha watoto wa vigogo wakalie waendelee kuchezea viti vya kuzunguka,Binafsi kipindi nimegraduate bado nina moto wa kutafuta ajira, nilijiunga kote huko, CV people, empower, zoom, brighter monday, na mengine mengi nimeyasahau, niliapply kazi mara nyingi sana bila kupata. Mwisho nilikata tamaa nikaacha
Sasaiv.comKujiunga tu haitoshi, unapaswa kuweka details zako zote vizuri. Na uwe unarudi ku-update. Uwa wanaweka kazi ukiona unaaplly ni rahisi tu au wenyewe wakiona kazi inakufaa kutokana na details zako wanakupigia simu. Mimi kazi yangu wao walinipigia simu bila kuomba nikaenda kwa mwajiri kufanya interview.
Binafsi huwa najiona kma si mtu wa kufikwa na fursa online kwa kuwa kada yangu au masomo yangu ni community development na ukiangalia sana huko ni companies na taasisi za marketing, accounting, logistics, HRs ndizo zipo huko..Kujiunga tu haitoshi, unapaswa kuweka details zako zote vizuri. Na uwe unarudi ku-update. Uwa wanaweka kazi ukiona unaaplly ni rahisi tu au wenyewe wakiona kazi inakufaa kutokana na details zako wanakupigia simu. Mimi kazi yangu wao walinipigia simu bila kuomba nikaenda kwa mwajiri kufanya interview.
Ndiyo kinaend kunikuta hiki au na aina ya course zinachangia uharaka wa kupata kaziBinafsi kipindi nimegraduate bado nina moto wa kutafuta ajira, nilijiunga kote huko, CV people, empower, zoom, brighter monday, na mengine mengi nimeyasahau, niliapply kazi mara nyingi sana bila kupata. Mwisho nilikata tamaa nikaacha
Kazi za community development mbona zipo... community relations officer, community engagement officer, behaviour change coordinator etcBinafsi huwa najiona kma si mtu wa kufikwa na fursa online kwa kuwa kada yangu au masomo yangu ni community development na ukiangalia sana huko ni companies na taasisi za marketing, accounting, logistics, HRs ndizo zipo huko..
Kwa mm mtu wa social worker inakuwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni portal?Sasaiv.com