Ni Rivers au Al Masry?

Ni Rivers au Al Masry?

Mzee23

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
1,731
Reaction score
3,628
Nianze kwa pongezi nyingi kwa Mnyama Simba kwa kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika!.

Nauliza kuhusu hatma ya timu za Rivers United na Al Masry, nani amefuzu makundi Shirikisho?

Rivers 2:1 Almasry (first leg)
Al Masry 1:0 Rivers (second leg)!
Screenshot_20211205-234311.jpg
 
Kweli nimeona Rivers wanaomba radhi mashabiki!
 
Nianze kwa pongezi nyingi kwa Mnyama Simba kwa kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika!.

Nauliza kuhusu hatma ya timu za Rivers United na Al Masry, nani amefuzu makundi Shirikisho?

Rivers 2:1 Almasry (first leg)
Al Masry 1:0 Rivers (second leg)!View attachment 2034360
Mbona rahisi tu hii,
Almasry alipata goli kwenye uwanja wa Rivers, lakini Rivers hakupata goli uwanja wa Almasry.

So Rivers out.
 
Back
Top Bottom