Ni roho mbaya au nini??

hapo ni kusepa tu
 
Ndugu yako hana roho mbaya hata kidogo.
Tatizo lililopo hapo inawezekana ikawa ni ushirikishwaji wa majukumu.
Ana ona una karibu kila kitu na kama haoni kushirikishwa kufanyika kwa hivyo vitu basi tegemea kutokuelewana kabisa.
Jaribu kumelewesha,kumshirikisha na ikiwezekana kumwomba ushauri kabla hujafanya maamuzi yeyote.
Ni kweli pesa itakuwa ni yako, miradi itakuwa ni yako lakini kumbuka kuwa kwa sasa wewe hauko peke yako, kwa hiyo ili na yeye aone kuwa unamjali inabidi umshirikishe walau awe anajua kitu fulani kabla ya kufanyika.
Hata kama ningelikuwa ni mimi nisingefurahia kama sishirikishwi na mwenzi wangu
 
That guy hakufai, coz hana confidence ndio maana anakupondea in a way that afeel good! Nina wasiwasi kama anavyo vyote asemavyo. A real man anado kuliko kumention utopia zake na how much he is worth!

Get rid of him, mapema! U r better than that Girl!
 
nahisi mmekutana washindani wawili....
...nadhani hata wewe una ushindani wa kichini chini sioni sababu mtu ajitambie mali alizonazo halafu wewe usononeke??!..mnh:A S 13::A S 13:
...atakuwa muhaya tu huyo mzoee hivyo hivyo..

Rose taratibu hapo usijeleta balaa
 

Hapo ni kula kona tu huo ni wivu na huyo mwanaume ana gubu hasa lililomkaa rohoni badala ya kushukuru kapata mwanamke anayejishughulisha yeye analeta madharau?? Timkia mbele mwaya miezi minne tu hautaumia sana. MAISHA LAZIMA YAENDELEE
 
nahisi mmekutana washindani wawili....
...nadhani hata wewe una ushindani wa kichini chini sioni sababu mtu ajitambie mali alizonazo halafu wewe usononeke??!..mnh:A S 13::A S 13:
...atakuwa muhaya tu huyo mzoee hivyo hivyo..

we we we roselyn wakikusikia hao..mimi simo
 
Mbona ana mambo ya ajabu mie nikajua baada ya kumwambia hivyo kwa vile umeonyesha juhudi atakusupport na kukutia moyo wa kuendelea kufanya makubwa zaidi,watu wengine bana ,Hizo coaster ,sijui nyumba ya 70m ni zake naona kama bado ana ka ushamba fulani
 

Yani wa hivi hakuna hata haja ya kumfikiria unachukua maamuzi kwa vitendo tu. Subiri dada angu atakuja anayejua maisha ni nini??
 
pole ndugu hiyo ni tabia ya baadh ya wanaume kutokupenda kuona wanawake wanamiliki asset, mvumilie tu kama ukiona anakukwaza zaid, unaweza kuachana nae pia.
 

Kibiritingoma why don't you just ignore him with his ignorance? Anaonekana ana shida zake na may be ni inferiority complex inamsumbua, huendea amekulia kwenye familia ambayo mama kazi yake ni kupika tu. Look at his stements "nataka kununua coaster" nunua hata ndege ukiweza. au "wadogo zangu wanafanya masters" wawe hata maprofesa haihusu" Yeye kwani ana elimu gani mpaka aanza kukutisha na elimu za wadogo zake? Hata kama ana PhD ni yake asikusumbue nayo hata kidogo.

Kikubwa kilichonigusa hapa na kulazimika kucomment, ni pale uliposema kaamani kanapotea kwako-this is the most dangerous thing. Yaani ujinga wa mtu ukukoseshe amani why sasa wote si mtakuwa wajinga? The worse thing ni kwamba ukikosa amani hata utendaji wako utashuka whether you like it or not. Kwa gharama yeyote usiruhusu ukose amani bse of s'one's ignorance no ni makosa makubwa. Mwache anunue hizo coaster wewe endelea na yako, tumejaliwa tofauti na we should be appreciative of that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…