Ni route gani nzuri kubebea abiria kwa Noah hapa Dar?

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
120
Habari zenu, wapendwa Nina Noah yangu nataka kufanya biashara ya kubebea abiria ndani ya mkoa Wa dar ukiacha kwenda mjini ni njia gani naweza kubebea abiria mfano kama kimara Na goba au maeneo mengine ambako barabara ni nzuri? Msaada wenu wandugu
 
Ilikuwa ni biashara nzuri mwanzo ila kwasasa haina isshu kabisa.
Ni Nzuri kama utaendesha mwenyewe,ila ukimpa mtu ni bor auizue ufanye ambo mengine.
La sivyo utakuja kusaga meno baadae.Drivers wa gari hizi ni Killers balaa.Wao wanajua kupata leo tu hawajui kesho kunanini
 
Mm mwenyewe biashara ya abiria kwa Noah imekuwa ngumu
..nafikiria kubadilishana na mwenye pickup...nikafanye yangu bush huko
 
Ila kiukweli Noah ni Gari nzuri kwa familia...tuliobadili matumizi ndo tumekosea...labda iwe staff car, executive car, kukodi hivi,
 
dhumuni ni kuendesha mwenyewe mkuu
 
Mm mwenyewe biashara ya abiria kwa Noah imekuwa ngumu
..nafikiria kubadilishana na mwenye pickup...nikafanye yangu bush huko
Embu niambie ulikuwa unapiga ruti gani na je ulikuwa unaendesha mwenyewe ama ulimpa dereva?
 
NI MAAMUZI YA MMILIKI WA CHOMBO KAMA ATAAMUA KUBEBEA ABIRIA AMA NGOMBE NI WEWE NI TU NA MATUMIZI YAKO MKUU

OVA
 
Habari zenu, wapendwa Nina Noah yangu nataka kufanya biashara ya kubebea abiria ndani ya mkoa Wa dar ukiacha kwenda mjini ni njia gani naweza kubebea abiria mfano kama kimara Na goba au maeneo mengine ambako barabara ni nzuri? Msaada wenu wandugu
Mkuu,
Swali yako nzuri na kweli unatafuta kujikwamua.
Cha kufanya: tafuta fundi anaweza kushona chupi ya bati uvae kisha peleka gari yako chuo cha uhasibu pale sjui ni Sam Nujoma au Mandela, peleka abiria kigamboni kupitia darajani....shida viboko, utapigwa viboko Vinngi sana hivyo hiyo chupi itakusitili.
 
duh!
 
Mkuu,
Usishangae ameuliza swali la kumsaidia amejibiwa!
Hiyo ni kazi. Kuna abiria wengi kutoka mbagala, temeke, buguruni hata wanafunzi wa uhasibu wanaanzia hapo nimesema kuelekea kigamboni.
Gari za machinga complex zinapita hapo zikiwa zimejaa hivyo kukiwa na gari ndogo za kuunganisha ni poa shida kushikwa mkuu ndio viboko vyenyewe hivyo.
 
SUMATRA in the house! Hv inawezekana kusaijili sumatra kwa ajili ya kubebea abiria?
 
Hivi Noah inaweza kusajiliwa Dar kubeba abiria kama daladala? Kama haiwezi kusajiliwa achana na hio biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…